Wakolosai 3:20
Print
Watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote. Hili humfurahisha Bwana.
Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hii humpendeza Bwana.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica